Dunia yaukaribisha mwaka mpya wa 2020, serikali ya DRC yaahidi amani, mkuu wa majeshi wa Irani auawa

Sauti 20:02
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akijiandaa kutoa hotuba ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2020 Kinshasa desemba 31 2019.
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akijiandaa kutoa hotuba ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2020 Kinshasa desemba 31 2019. ANDREW CABALLERO-REYNOLDS / AFP

Makala hii imeangazia namna ambavyo mamia kwa maelfu ya watu kote duniani walivyou karibisha mwaka mpya wa 2020, hali ya usalama kuendelea kuzorota wilayani Beni mashariki mwa DR Congo, wakati Kenya imeimarisha usalama huko Lamu, na kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa hivi karibuni, kimataifa kuuawa kwa mkuu wa majeshi ya mapinduzi Irani, na mgomo wa wafanyakazi waendelea Ufaransa