Shambulio la kambi ya kijeshi Lamu laua darzeni Kenya, DRC yafunga chuo kikuu Kinshasa, mvutano wa Iran na Marekani washika kasi

Sauti 20:35
Askari wa jeshi la Kenya katika ulinzi mkali kwenye kaunti la Lamu pwani ya Kenya January 2 2020.
Askari wa jeshi la Kenya katika ulinzi mkali kwenye kaunti la Lamu pwani ya Kenya January 2 2020. REUTERS/Stringer

Katika makala ya wiki hii tumeangazia kuhusu shambulio lililotekelezwa na wanamgambo wa al-Shabaab dhidi ya kambi ya simba huko Lamu pwani ya Kenya, wiki hii serikali ya DR Congo kukifunga chuo kikuu cha Kinshasa kufwatia vurugu zilizojitokeza ambapo askari polisi mmoja aliuawa na mahusiano kati ya Rwanda na Uganda yaanza kuboreka, kimataifa mvutano kati ya Iran na Marekani washika kasi mpya