Jeshi la Congo labomoa ngome ya ADF mashariki mwa DRC, waalimu wa Kenya kuondoka maeneo ya Garisa, Iran yatuhumu nchi za magharibi
Imechapishwa:
Sauti 20:29
Jeshi la jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, juma hili lilifahamisha kuwa limedhibiti ngome muhimu ya Madina baada ya kuwatimua waasi wa ADF, huko Kenya waalimu watishia kuondoka katika eneo la Garissa kwa sababu za kiusalama, viongozi wa mataifa ya Sahel walikubaliana kuhusu kuimarisha mapambano dhidi ya magaidi, na huko Marekani mchakato wa kumuondoa madarakani rais Donald Trump washika kasi