Rais wa DRC Felix Tshisekedi aadhimisha mwaka mmoja madarakani, viongozi wa sudan kusini washindwa kuafikiana, virusi vya Corona vyaripotiwa China

Sauti 20:04
Rais wa DRC Felix Tshisekedi wakati akiapishwa kuwa rais January 24 2019 jijini Kinshasa.
Rais wa DRC Felix Tshisekedi wakati akiapishwa kuwa rais January 24 2019 jijini Kinshasa. TONY KARUMBA / AFP

Katika makala hii tumeangazia mwaka mmoja wa rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi madarakani lakini pia kauli yake ya kulivunja bunge la kitaifa, nchini Burundi wabunge waidhinisha muswada wa sheria unaopanga marupurupu ya rais atakayestaafu lakini pia faida zingine, suala la ulanguzi wa binadamu nchini Kenya, waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania ajiuzulu na mengine mengi katika uga wa kimataifa.