Ni tukio gani unalikumbuka kwa mwaka 2019

Sauti 10:09
Ajali ya kulipuka kwa gari la mafuta mkoani Morogoro, mashariki mwa Tanzania ni mojawapo ya matukiuo yaliyowagusa wasikilizaji wa RFI Kiswahili mwaka 2019
Ajali ya kulipuka kwa gari la mafuta mkoani Morogoro, mashariki mwa Tanzania ni mojawapo ya matukiuo yaliyowagusa wasikilizaji wa RFI Kiswahili mwaka 2019 Mwananchi

Mwaka 2019 unafikia ukingoni leo Disemba 31 na tunakupa fursa msikilizaji kutoa maoni yako kuhusu matukio muhimu yaliyotokea katika jamii yako. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya.