Maambukizi ya virusi vya Corona yaongezeka China, mauaji ya Beni yatisha, Uingereza yajiondoa rasmi EU

Sauti 21:11
Madaktari katika Hospitali ya Zhongnan mjini Wuhan, China wakichunguza virus vya corona February 2 2020.
Madaktari katika Hospitali ya Zhongnan mjini Wuhan, China wakichunguza virus vya corona February 2 2020. China Daily via REUTERS

Katika makala hii, tumeangazia maambukizi ya virusi vya Corona nchini China kuendelea kuzua hofu kubwa huku ulimwengu ukihamasika katika kupambana navyo, huko DR Congo mauaji yaliendelea huku maafisa wa serikali wakiahidi kuimarisha usalama kuzuia mauaji yanayotekelezwa na waasi wa ADF. Kimataifa, Uingereza yajivua uanachama wake rasmi katika umoja wa ulaya, pia mchakato wa kumwondoa rais wa Marekani Donald Trump kushika kasi.