Tamko la Afrika kuhusu demokrasia chaguzi huru na utawala bora linatekelezeka?

Sauti 10:17
Nembo ya Umoja wa Afrika
Nembo ya Umoja wa Afrika wikipedia

Imetimia miaka 13 tangu bara la Afrika kuridhia tamko la demokrasia, utawala bora na chaguzi huru za haki. Tunaangazia tamko hilo na wajibu wa viongozi na asasi za kiraia kukuza demokrasia barani Afrika. Ungana na Fredrick Nwaka katika makala ya Jua haki zako akizungumza na Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC, Ana Henga