Maombolezo ya kitaifa nchini Kenya baada ya kifo cha rais wa zamani Arap Moi, kaimu waziri mkuu wa ubelgiji azuru DRC, China yaahidi kupambana na Corona

Sauti 21:09
Kaimu waziri mkuu wa Ubelgiji Sophie Wilmès,  mwenye umri wa miaka 44 mjini Brussels, february 2019.
Kaimu waziri mkuu wa Ubelgiji Sophie Wilmès, mwenye umri wa miaka 44 mjini Brussels, february 2019. DIRK WAEM / BELGA / AFP

Maombolezo ya kitaifa yaliendelea nchini Kenya baada ya kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo Arap Moi. Nchini Malawi, mahakama ya katiba ilibatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu uliompa ushindi rais Peter Mutharika na huko DRC sakata la mchungaji na mwimbaji wa nyimbo za injili, Moise Mbiye lazua sintofahamu jijini Kinshasa kufuatia tuhuma za ubakaji, tume ya uchaguzi Burundi yatangaza idadi ya wapigakura, nchini Marekani baraza la seneta lamuondolea makosa rais wa Marekani, Donald Trump