Rais wa zamani wa Kenya azikwa nyumbani kwake, mauaji yaendelea wilayani Beni, virusi vya Corona vyaangamiza zaidi

Sauti 20:09
Maafisa wa jeshi la Kenya wakiibeba jeneza la mwili wa rais wa zamani wa Kenya Daniel arap Moi, uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, jumanne ya FEBRUARY 11 2020
Maafisa wa jeshi la Kenya wakiibeba jeneza la mwili wa rais wa zamani wa Kenya Daniel arap Moi, uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, jumanne ya FEBRUARY 11 2020 Njeri Mwangi

Viongozi mbalimbali wa Afrika mashariki na kwingineko duniani walijiunga na Maelfu ya wakenya kushiriki mazishi ya aliyekuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Daniel Arap Moi, katika eneo la Kabarak katika kaunti ya Nakuru, na huko jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wasiwasi kuongezeka kuhusu maambukizi ya virusi hatari vya ebola, kutokana na maelfu ya wakaazi wa Mangina kutoroka makwao, mawaziri wa nchi za nje kutoka Uganda na Rwanda walikutana jijini Kigali, na kimataifa virusi vya Corona kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha nchini China.