DRC_GOMA-USALAMA-MAENDELEO

DRC: Tshisekedi ziarani Goma kuzungumzia juu ya usalama na maendeleo

Rais wa Kongo Félix Tshisékédi huko Bukavu, Oktoba 8, 2019.
Rais wa Kongo Félix Tshisékédi huko Bukavu, Oktoba 8, 2019. Tchandrou Nitanga / AFP

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi yupo mjini Goma katika eneo ambalo limeendelea kushuhudia utovu wa usalama katika kipindi kirefu kutokana na kuwepo kwa makundi ya waasi yanayoendelea kushtumiwa kutekeleza mauaji ya raia.

Matangazo ya kibiashara

Rais Thiseekedi alipokelewa na maelfu ya wakaazi wa Goma siku ya Jumatatu katika uwanja wa ndege wakiwemo viongozi wa jimbo la Kivu Kaskazini.

Akiwa katika Jimbo la Kivu Kaskzini, rais Thisekedi anakutana na viongozi wa kisiasa na usalama kujadili hali ya usalama na kuwajikishia wakazi wa Mashariki mwa nchi hiyo utulivu, katika êneo alvali limeendelea kushhudia utovu wa usalama kutokana na uwepo wa makundi ya waasi.

Ziara hii inakuja wakati huu wafuasi wa mwanasiasa Vitakl Kmqerehe mashariki mwa nchi hiyo wakitaka kiongozi wapo aliyefungw ajela kwa sabbau ya ufisadi kuachiliwa huru.

Siku ya Jumatano, rais Thisekedi anafanya kikao kwa njia ya mkanda wa vídeo na viongozi wa Uganda na Rwanda, kujadili hali ya usalama Mashariki mwa nchi hiyo.

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, alikuwa amealikwa katika kikao hicho lakini ripoti zinasema hatohudhuria kwa kile Gitega inasema, matatizo yake ilimaliza katika ziara nchini humo ya Waziri wa Mambo ya Nje Marie Tumba Nzeza.