Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Imechapishwa:
Sauti 38:45
Makala Changu chako chako changu juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ilikuwaje hadi mataifa hayo kuungana, hii kiwa ni sehemu ya kwanza. na kwenye kiupengele cha utamaduni utamsikia raia wa Ubelgiji akizungumzia kuhusu utamaduni wa kutengezneza vipuri kwa kutumia plastiki. usikosi pia kutufollow kwa isntagram kwa kuandika @billy_bilali