Corona Uganda: Wazazi wakabiliwa na ugumu wa kulipa ada ya shule
Imechapishwa:
Nchini Uganda, katika wiki za hivi karibuni, shule zilifunguliwa hatua kwa hatua. Lakini kwa kuanza kwa masomo, pia ni wakati wa wazazi kulipa ada ya shule kwa watoto wao, hali ambayo ni ngumu kwa wazazi katika kipindi hiki cha janga la COVID-19.
Wazazi·wengi·nchini·Uganda·wamelalamikia·hali·ya·uchumi·inayowakabili·wakati·huu·janga·la·COVID-19·linaendelea·kusababisha·madhara·makubwa·katika·uchumi·na·afya·kwa·raia·duniani.¶
Wiki·hii·nchi·jirani·ya·Kenya·ilianza·rasmi·shughuli·ya·kutoa·chanjo·ya·COVID-19·ambapo·kundi·la·kwanza·kuchanjwa·walikuwa·wahudumu·wa·afya·katika·kaunti·zote·47.¶
Dozi·milioni·1.2·za·chanjo·ya·virusi·vya·Corona·ziliwasili·siku·ya·Jumanne·wiki·hii,·na·kuifanya·Kenya·kuwa·moja·ya·mataifa·ya·mwanzo·kupokea·chanjo·hiyo·barani·Afrika.¶
␣¶