Siha Njema

Siha njema

Mtoto mlemavu wa ngozi aliokatwa viungo
Mtoto mlemavu wa ngozi aliokatwa viungo RFI Kiswahili/Ebby Shabani Abdallah

Katika Bara la Afrika watu wengi wenye Ulemavu wa ngozi wamejikuta wakiishi katika mazingira magumu, na hii ni kutokana na kukithiri kwa ubaguzi katika vituo vya ulezi wa watoto wenye ulemavu wa ngozi pamoja na imani potofu na tamaa ya utajiri.

Matangazo ya kibiashara

Makala ya Siha njema inanagazia juu ya changamoto hizo katika maeneo ya ziwa Victoria.

SIHA NJEMA ALBINISM MWANZA