Siha Njema

Siku ya wauguzi Duniani

Sauti 09:37
Hospitali ya Amana katika siku ya wauguzi Duniani
Hospitali ya Amana katika siku ya wauguzi Duniani RFI'Ebby Shabani Abdallah

Kwa kutambua umuhimu wa Wauguzi kwenye jamii yetu Makala hii ya Siha njema inaangazia Siku ya Wauguzi Duniani na changamoto wanazokabiliana nazo.