Ukuzaji wa utalii visiwani Zanzibar nchini Tanzania

Sauti 09:38
Eneo la mji Mkongwe Zanzibar
Eneo la mji Mkongwe Zanzibar Matthias Krämer/Open access

Mtayarishaji wa makala haya, juma hili ameangazia maswala ya utalii katika nchi za Afrika Mashariki lakini safari hii amepiga kambi kule visiwani Zanzibar nchini Tanzania.