Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mafuta ya mabaki ya mimea

Sauti 10:16

Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kutokana na uchafuzi wa mazingira Kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia, makala ya mazingira leo Dunia kesho juma hili inajadili kwa kina juu ya nishati mbadala aina ya BioFuel mafuta ya mabaki ya mimea na vyakula, ili kukabiliana na uchafuzi a hali ya hewa