Siha Njema

Mimba za utotoni

Sauti 10:10
blogbebe

Katika miaka ya karibuni, tatizo la ni kubwa katika nchi nyingi barani Afrika,hasa katika nchi za afrika mashariki na kati kila mwaka huacha shule kutokana na ujauzito Kati yao 3,000 ni wanafunzi wa shule za msingi.Mwandishi wetu Ebby Shaban Abdallah katika makala ya Siha Njema anagazia kwa kina ju ya changamoto hiyo.