Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ongezeko la watu duniani

Sauti 10:05
REUTERS/Amit Dave/Files

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia athari za ongezeko la idadi ya watu duniani pamoja na faida zake kwa dunia.