Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Tabia nchi

Sauti 10:08
picha inayoonesha mto ukiwa umefurika, kufuatia hali ya mabadiliko ya Tabia ya nchi
picha inayoonesha mto ukiwa umefurika, kufuatia hali ya mabadiliko ya Tabia ya nchi Reuters

Makala haya yanaangazia Changamoto zinazokabili Mazingira yetu hasa baada ya mabadiliko ya hali ya hewa.Makala haya yanafafanua kuwa Mazingira yetu yanaathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa, chanzo kikubwa kikiwa Shughuli mbalimbali za Binaadam.