Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Umuhimu wa misitu kwa maisha ya wanadamu

Sauti 09:17
Misitu ya Morogoro
Misitu ya Morogoro RFI-Ebby Shaaban Abdalah

Msikilizaji wetu bara la Afrika limebahatika kuwa na rasilimali nyingi ikiwemo misitu, m,fano mzuri ni hapa nchini Tanzania ambapo rasilimali hii imekuwa na mchango mkubwa katika masula ya kiuchumi na kijamii.