Siha Njema

Tatizo la msongo wa mawazo kwa wanandoa

Sauti 10:06
Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia tatizo la msongo ambalo limekuwa tatizo kwa wanandoa kushindwa kushiriki vizuri tendo la ndoa.