Siha Njema

ukeketaji

Sauti 09:59
Mila ya Ukeketaji dhidi ya Wanawake
Mila ya Ukeketaji dhidi ya Wanawake

Kwa muda mrefu Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na taasisi mbali mbali za kiserikali zimekuwa zikipinga ukeketaji wa wanawake ukisema vitendo hivi ni ukiukaji wa Haki za Binaadam .Makala ya siha Njema juma hili inagazia juu ya Athari zitokanzo na ukeketaji.