Athari za uchafuzi wa maji Afrika Mashariki

Sauti 09:36
Wanawake wamekuwa wahanga wakubwa wa kutafuta maji kwa umbali mrefu
Wanawake wamekuwa wahanga wakubwa wa kutafuta maji kwa umbali mrefu REUTERS/Akintunde Akinleye

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia athari za uchafuzi wa mazingira na kwenye jamii za Afrika Mashariki.