Uvimbe wa mayai ya uzazi tatizo linalowasumbua wanawake

Sauti 11:01
RFI

Tatizo la uvimbe wa mayai ya uzazi bado ni tatizo linalosumbua wanawake ndani na nje ya Afrika. Makala ya Siha Njema inaangazia tatizo hilo kwa kina tatizo la uvimbe katika mayai ya uzazi.