Tatizo la Mzio au allergy katika afya ya binadamu

Sauti 03:59

Mzio au allergy  ni  tatizo ambalo limekuwa likiwasumbua watu wengi katika jamii zetu haswa watoto wadogo,makala ya Siha Njema juma hili yanajikita kuangazia kwa kina juu ya Ugonjwa huo.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa usimulizi zaidi.