Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Utalii

Sauti 09:53

Nchi za Afrika mashariki mwa  Afrika  zimebarikiwa kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori pamoja na vivutio vya utalii, hii ni kutokana na kuwa na maeneo mengi mzazuri ya uhifadhi.Hivi karibuni Wizara za Maliasili na Utalii kaatika nchi za frika mashariki na kati zimekuwa zikisisitiza juu ya umuhimu wa Utalii Endelevu Lengo likiwa uhifadhi na utunzaji wa mazingira