Makala haya “Siha Njema”yanaangazia kuhusu ugonjwa wa saratani, hayo ni wakati kila ifikapo tarehe 4 ya mwezi wa februari kila mwaka ni Siku ya Saratani Duniani. Siku hii huadhimishwa katika kila nchi kutokana na ukubwa wa tatizo hilo. Maadhimisho haya yanakuja wakati ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa saratani duniani ikisema ugonjwa huo unazidi kuenea kwa kasi katika nchi zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara.Ungana na Ebby Shabani Abdallah..........
Vipindi vingine
-
Siha Njema Mapambano kupunguza matumizi ya Tumbaku na mchango wa sekta binafsi katika afya Mataifa ya ulimwengu yanapoadhimisha siku ya Tumbaku Mei 31,kuna hofu juhudi za kupunguza matumizi ya tumbaku zinaonekana kurudishwa nyuma na ukiukaji wa sheria za kupambana na matumizi ya tumbaku31/05/2023 10:07
-
Siha Njema Kuipa hedhi heshima kama haki ya msingi miongoni mwa wanawake Umaskini umechangia wasichana wengi kukosa Sodo na kushindwa kwenda shule25/05/2023 09:28
-
Siha Njema Nafasi ya wauguzi kwenye mkondo wa huduma za afya na huduma za afya kwa wanaoishi na ulemavu Kila Mei kati ya tarehe 8- 14 dunia huwaenzi wauguzi ambao ni kiungo muhimu kwenye huduma za afya.16/05/2023 10:03
-
Siha Njema Mchango wa Wakunga katika utoaji huduma za kimsingi kwenye jamii Kila Mei tarehe tano ,ulimwengu huadhimisha siku ya kimataifa ya wakunga09/05/2023 10:03
-
Siha Njema Mpango wa afya kwa wananchi wa Zanzibar Zanzibar inaanza kutekeleza mpango wa mfuko wa bima wa afya kwa raia wote kupata huduma za afya bila malipo.02/05/2023 10:01