Jua Haki Zako

Haki ya elimu kwa walemavu

Imechapishwa:

Haki ya utoaji wa elimu  kwa walemavu inasalia kuwa  suala tata miongoni mwa mataifa ya Afrika.Nchini Tanzania hali kama hii inashuhudiwa huku shule zilizojengwa na Makanisa nchini humo zikiwa katika mstari wa mbele kuwasaidia watoto wenye ulemavu kupata elimu bora.Ungana na Karume Asangama kwa mengi zaidi katika makala ya Jua Haki zakko. 

Vipindi vingine