Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya kuwakumbuka wagonjwa

Sauti 09:55

Tarehe 11 ya kila mwezi wa Februari  ni siku ya kuwakumbuka watu wote wanaougua.Je, unafahamu umuhimu wa siku hii ? Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi katika kipindi hiki cha Habari Rafiki.