Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Uchafuzi wa hewa

Sauti 09:57

Uchafuzi wa hewa duniani ni suala ambalo limeendelea kusumbua mataifa mbalimbali dunia huku mikutano ikifanyika kujaribu kutafuta suluhu la kudumu bila ya mafanikio.Ebby Shaban Abdala anasimulia zaidi