Siha Njema

Utumizi wa dawa za kulevya jijini Dar es salaam Tanzania

Sauti 10:13

Utumiaji wa dawa za kulevya nchini Tanzania hasa katika jiji la Dar es salaam hasa kwa vijana unazidi kuongezeka siku baada ya siku.Medicine Du Monde ni shirika la Kimataifa linalowasaidia vijana hao jijini Dar es salaam kubadilika na kuacha kutumia dawa hizo za kulevya na kutoa mafunzo kwa vijana hao.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa mengi zaidi.