Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Nyavu

Sauti 09:47
Uvuvi haramu una athari kubwa za kimazingira iwapo hautadhibitiwa
Uvuvi haramu una athari kubwa za kimazingira iwapo hautadhibitiwa

Msikilizaji wetu Vitendo vya uvuvi haramu kwa kiasi kikubwa vimechangia katika uharibifu wa Mazingira,hasa kwa mazalia ya Samaki,hii ni kutokana na njia mbali mbali zisizo salama zinazotumika wakati wa kuvua samaki,ikiwemo utumiaji wa sumu. Mkala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho inangazia juu ya Athari za kimazingira zitokanazo na uvuvi haramu.