Siha Njema

Kujifungua kwa njia ya Opareheni

Sauti 10:16

Makala ya Siha Njema wiki hii yanaangazia kujifungua kwa wanawake kwa njia ya Oparesheni .Ebby Shaban Abdala anasimulia zaidi.