Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya Maji duniani

Sauti 09:56

Kipindi cha Habari Rafiki Ijumaa hii kinaangazia siku ya Kimataifa ya Maji duniani. Je, bara la Afrika linakabiliwa na changamoto gani kuhusu upatikanaji wa maji safi ya kunywa na matumizi mengine ya nyumbani ?Reuben Lukumbuka anazungumza na wasikilizaji