Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Upatikanaji wa maji, wakati dunia inaadhimisha wiki ya Maji

Sauti 08:53
UN

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia upatikanaji wa maji na uharibifu wa vyanzo vya maji wakati dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya maji duniani.