Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ukosefu wa mipango miji na athari kwa mazingira

Sauti 09:53
AFP/Simon Maina

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho wiki hii yanaangazia mipango miji inavyoathiri mazingira katika mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa mengi zaidi.