Siha Njema

Vidonda vya tumbo

Sauti 10:12

Makala ya Siha Njema wiki hii yanaangazia tatizo la vidonda vya tumbo,chanzo, madhara na tiba.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa mengi zaidi.