Siha Njema

Tiba ya vidonda vya tumbo

Makala ya Siha Njema juma hili bado inaangazia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na sasa tunatupia macho tiba ya ugonjwa huo ambao umekuwa tishio kwa watu wengi katika jamii yetu, ungana na msimulizi wako Ebby Shabani Abdallah upate kufahamu mambo mengi zaidi kuhusiana na ugonjwa huu.