Siha Njema

Tatizo la msongo wa mawazo

Sauti 09:56
Baadhi ya watu wamekuwa wakitumia vidonge kama tiba ya msongo wa mawazo
Baadhi ya watu wamekuwa wakitumia vidonge kama tiba ya msongo wa mawazo Sarah

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia tatizo la msongo wa mawazo, ambapo kwasasa linaonekana kuwa tatizo miongoni mwa jamii za kitanzania na hata ukanda wa Afrika Mashariki.