Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ujenzi wa nyumba kiholela katika maeneo yenye fukwe

Sauti 10:01

Ujenzi wa nyumba katika maeneo ya fukwe ni mojawapo ya ujenzi ambao wataalam wanasema ni hatari sana kwa uhifadhi wa  mazingira.Jijini Dar es salaam nchini Tanzania na Mombasa nchini Kenya  ujenzi huu unazidi kushuhudiwa kandokando ya bahari Hindi.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa usimulizi zaidi.