Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ardhi

Sauti 09:28
Maeneo ya ufukweni ni budi yakatunzwa vizuri ili kupendezesha Mazingira ya Bahari
Maeneo ya ufukweni ni budi yakatunzwa vizuri ili kupendezesha Mazingira ya Bahari

Makala haya yanaangazia juu ya Matumizi ya Ardhi yasiyo sahihi na Madhara yake, hasa juu ya ujenzi wa kiholela kwenye maeneo ya fukwe za Bahari, ungana nae Ebby Shabaan Abdallah.