Siha Njema

Meno

Sauti 07:35

Makala ya Siha njema Juma hili inaangazia juu ya Tatizo la Kuoza meno, huku ikigusia juu ya maambukizi ya Maradhi ya kuoza Meno, kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.