Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mkutano wa nchi wanachama wa bonde la mto Nile

Sauti 09:23

Katika makala haya hii leo tunaangazia mkutano wa wajumbe wa nchi wanachama wa bonde la mto Nile uliofanyika nchini Sudani Kusini kujadili masuala mbalimbali kuhusu mto huo. Ebby Shaban Abdallah amekuandalia mengi.Karibu