Kupungua kwa Maji

Sauti 10:04
Shughuli za Kibinaadam zinachangia kuleta madhara ya kupungua kwa Rasilimali ya Maji
Shughuli za Kibinaadam zinachangia kuleta madhara ya kupungua kwa Rasilimali ya Maji

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho yanaangazia juu ya Rasilimali ya Maji na namna gani Rasilimali hii hupotea hasa Maeneo mengi ya Bara la Afrika