Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Athari za ongezeko la watu duniani kwa mazingira

Sauti 10:09
Baadhi ya wananchi wa Sudan Kusini wakiadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani
Baadhi ya wananchi wa Sudan Kusini wakiadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani IRIN/Jose Miguel Calatayud

Mtangazaji wa makala haya juma hili ametazama athari za mazingira zinazotokana na ongezeko la idadi ya watu duniani.