Siha Njema

Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Sauti 09:22
Online

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi.