Mchango wa tafiti za tiba

Sauti 10:00
Tafiti mbalimbali za tiba zimeeleza kuwa matunda na mbogamboga ni muhimu kwa afya ya binadamu
Tafiti mbalimbali za tiba zimeeleza kuwa matunda na mbogamboga ni muhimu kwa afya ya binadamu tollyzkitchen.wordpress.com

Katika makala ya Siha Njema hii leo tunatazama mchango wa tafiti mbalimbali zinazofanywa katika tiba ili kuimarisha huduma za afya, mengi zaidi utayasikia toka kwa Ebby Shaban Abdallah, karibu.........