Kuhifadhi mazingira kwa kuokota taka jijini Nairobi

Sauti 09:50

Makundi ya wakaazi wa jiji la Nairobi nchini Kenya wameanzisha mbinu za kukusanya taka kama njia ya kuhifadhi mazingira.Taka wanazokusanya kama vyakula huuzwa kama chakula cha nguruwe.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa usimulizi zaidi.