Utoaji mimba ndani ya ndoa nchini Kenya

Sauti 10:11

Ripoti ya kiafya nchini Kenya inaonesha kuwa zaidi ya wanawake 400,000  mwaka uliopita walio katika ndoa walitoa mimba.Utafiti unaonesha kuwa hii ni kwa sababu wanawake wengi wanahofia njia za kisasa za kuzuia mimba huku wengine wakisema walipata kwa bahati mbaya.Tunazungumzia suala hili katika kipindi cha Habari Rafiki leo hii.