Siha Njema

Saratani ya Matiti

Sauti 09:08
Matiti ambayo yameathirika na saratani
Matiti ambayo yameathirika na saratani RFI

Ugonjwa wa Saratani ya matiti umeelezwa kukua kwa kasi katika mataifa mengi katika bara la Afrika huku waathirika wa tatizo hilo wakiwa ni vijana wenye umri wa kati ya miaka 25 na 30. Basi mtangazaji wa makala haya ”Siha Njema” , Ebby Shaban Abdallah kwa mara nyingine anatupia jicho kuangazia juu ya ungojwa huo..........